Baada ya miaka ya mateso, haki imesimama! Mama huyu amefikia mwisho wa mgogoro wake kwa msaada wa huduma za kisheria — leo anatabasamu mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria.