Katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, wahudumu wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) wameendelea kutoa msaada wa kisheria bure kabisa kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali.
Wananchi waliotembelea banda la MSLAC wameeleza kufurahishwa na huduma hiyo, wakisema imewasaidia kuelewa haki zao kisheria, namna ya kushughulikia migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, ajira, na masuala ya ukatili wa kijinsia.
🎥 Tazama video hii ujionee jinsi wananchi wanavyopata msaada na elimu ya kisheria kwa uwazi, kwa upendo na bila malipo.
📍 Huduma hii inapatikana kila siku katika viwanja vya Sabasaba hadi maonesho yatakapofungwa.
✅ Haki kwa wote ni msingi wa amani na maendeleo!
💬 Usisahau ku-like, ku-comment na kusubscribe kwa taarifa zaidi kuhusu MSLAC na huduma za msaada wa kisheria nchini Tanzania.
#SabaSaba2025 #MSLAC #MsaadaWaKisheriaBure #MamaSamia #HakiKwaWote #MatumainiMapya #ElimuYaSheria #SioNdotoTena