Skip to main content

NATAKA NIWAAMBIE, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA NI INJINI YA NCHI. -Hamisi Abdala.

Submitted by admin on 17 May 2025

Video hii, Inazungumzia kwa nini hakuna taifa linaloweza kusimama bila misingi ya sheria. Uongozi, haki, usalama na maendeleo ya nchi yanatokana na kazi kubwa ya Wizara ya Katiba na Sheria. Fahamu zaidi kuhusu mchango wake katika kulinda haki za wananchi na kusimamia utawala wa sheria.

🔔 Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu haki, sheria, na maendeleo ya kisheria nchini!

#SheriaNiMsingi #WizaraYaKatibaNaSheria #MSLAC #HakiKwaWote