Mkurugenzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria chini ya Wizara ya Katiba na Sheria (MSLAC) – anatoa ujumbe mahsusi kwa taifa kuhusu umuhimu wa haki kupatikana kwa wote, hasa kwa wananchi wa kipato cha chini na makundi maalum.
Kongamano hili limewaleta pamoja wadau mbalimbali wa sheria, watendaji wa serikali, wawakilishi wa jamii na watoa huduma za msaada wa kisheria kwa lengo la kushirikiana, kujifunza na kuboresha mifumo ya utoaji haki nchini Tanzania.
🔵 Kauli mbiu ya mwaka huu: “Haki kwa Wote, Wajibu kwa Wote”
▶️ Tazama hotuba, mijadala na matukio muhimu yaliyobeba ujumbe wa matumaini, mabadiliko na uwajibikaji wa pamoja.
📌 Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe ili kufuatilia jitihada za serikali na wadau katika kuhakikisha msaada wa kisheria unawafikia Watanzania wote.
#MsaadaWaKisheria2025 #MSLAC #BiEsterMsambazi #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria #TLS #LegalAidTanzania