Katika mkutano uliojaa hisia mjini Arusha, Waziri wa Katiba na Sheria MHE, DKT. DAMAS NDUMBALO ameingilia kati mgogoro mkali wa urithi uliosababisha migawanyiko ya kifamilia na madai ya upendeleo. Akizungumza mbele ya wanachi waliokusanyika, Waziri huyo ameahidi kusimamia haki kwa wote bila upendeleo na kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake.
Je, ni nini chanzo cha mgogoro huu? Je, familia zilizoathirika zitapata haki? Tazama ripoti kamili kufahamu hatua zinazochukuliwa kurejesha amani na usawa katika suala hili nyeti la urithi.
✅ Bonyeza Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu haki, sheria na maendeleo nchini Tanzania!
#HakiKwaWote #Urithi #WaziriWaSheria #Arusha #tanzaniafootball