Maelfu ya wananchi wamejitokeza katika banda la MSLAC katika Viwanja vya Sabasaba ili kupata elimu juu ya haki zao, masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira na ukatili wa kijinsia – yote yakitolewa bure na wataalamu wa sheria.
#hakikwawote #mslac #msaadawakisheria #siondototena #elimuyasheria #songea #tanzania #katibanasheria #daressalaam #samiasuluhu