Wanasheria na maofisa wa MSLAC wanaendelea kutoa huduma kwa moyo wa kujitolea, wakitoa ushauri wa moja kwa moja kwa wananchi, huku wakihamasisha utatuzi wa migogoro kwa njia ya maridhiano.
#mslac #hakikwawote #daressalaam #samiasuluhu #siondototena #msaadawakisheria