Songea, Ruvuma – Katika muendelezo wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC), wananchi wa Mkoa wa Ruvuma, hususan Manispaa ya Songea, wameendelea kunufaika na elimu ya kisheria inayogusa maisha yao ya kila siku. Kwa sauti moja, wananchi wametoa kauli ya wazi: "Tunakiu ya haki, elimu hii ndiyo tiba ya changamoto zetu." Mwananchi
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SONGEA #RUVUMA #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya