Skip to main content

WLAC BEGA KWA BEGA NA UTOAJI WA ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA BURE - DAR ES SALAAM

Submitted by admin on 25 June 2025

Katika juhudi za kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote, WLAC (Women's Legal Aid Centre) inaendelea kusimama bega kwa bega na wananchi wa Dar es Salaam kwa kutoa elimu na msaada wa kisheria bure kwa makundi mbalimbali katika jamii.

Kupitia programu hii ya kipekee:

✅ Wananchi wanapata uelewa juu ya haki zao za kisheria

✅ Wanajifunza kuhusu masuala ya ndoa, mirathi, ajira, ukatili wa kijinsia na migogoro ya ardhi

✅ Wanapata msaada wa kisheria pasipo malipo

✅ Wanahamasishwa kuandika wosia, kutumia usuluhishi, na kuepuka migogoro isiyo ya lazima

🎙️ Tazama mahojiano ya walengwa, wanasheria na maafisa wa WLAC wakieleza mafanikio ya kampeni hii.

Elimu ya kisheria ni silaha ya mabadiliko. Tusaidie kufikisha ujumbe huu kwa wengine kwa:

👍 KULIKE

💬 KUACHA MAONI

🔔 KUSUBSCRIBE kwa video zaidi za elimu ya kisheria

#WLAC #MsaadaWaKisheriaBure #HakiKwaWote #MSLAC #JuaHakiYako #LegalAidTanzania #DarEsSalaam