Video
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Lindi. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 19 Februari 2025
📍 Mahali: Ruangwa…
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza…
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza…
Posted:
Mbunge wa Ilemela, Mhe. Anjelina Mabula, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Mwanza, hususan wilaya ya Ilemela, kutumia fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC).Mbunge wa Ilemela, Mhe. Anjelina Mabula, amewahimiza wananchi wa Mkoa wa Mwanza,…
Posted:
Mwanza, 17 Februari 2025 – Maandalizi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza yamekamilika kwa asilimia 100, huku wananchi wakihamasishwa kushiriki kwa wingi katika tukio hili muhimu. Kampeni hii inalenga kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) imejizatiti kupambana na changamoto na migogoro inayowakumba kina mama nchini, ikiwemo migogoro ya ardhi, ndoa, urithi, na ukatili wa kijinsia. Kupitia utoaji wa elimu ya kisheria na njia mbadala za utatuzi wa migogoro kama usuluhishi na maridhiano,…