Video
Posted:
Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia katika maonesho ya Nane Nane inalenga kutoa elimu ya sheria, ushauri, na ufumbuzi wa matatizo ya kisheria kwa wananchi.
Tupo Hapa Kukuhudumia! kwani msaada huu ni Bure kwa Watanzania wote..Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia katika maonesho ya…
Posted:
Lusian Mwanitu, mkazi wa mkoani Dodoma, ameomba serikali kuongeza nguvu kwenye kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ili iweze kuwafikia watu wengi zaidi, hususan wale waliopo vijijini. Mwanitu amepongeza juhudi za kampeni hiyo, akisema kuwa ni taasisi mpya na yenye manufaa makubwa kwa…
Posted:
Wananchi wameonyesha kuridhishwa na huduma za kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia. Fika katika banda letu lililopo maonesho ya Nane Nane ili kupata huduma za msaada wa kisheria bure. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #KaziIendelee
Posted:
Thomasa James Peter ameeleza matumaini yake kuhusu kampeni ya msaada wa kisheria, akisema kuwa itakuwa msaada mkubwa kwa wakazi wengi wenye matatizo ya kisheria. Kampeni hii inawalenga pia wale ambao hawana uelewa wa kutosha kuhusu sheria na haki zao. Peter ameongeza kuwa kampeni hiyo itasaidia…
Posted:
Wananchi wamependekeza kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya MSLAC (Msaada wa Sheria kwa Wananchi) kuwa taasisi ya kudumu. Pendekezo hili limeibuka kutokana na msaada mkubwa ambao MSLAC imekuwa ikitoa kwa Watanzania, ikiwemo huduma za ushauri wa kisheria na elimu ya haki za kisheria. Wananchi…
Posted:
Wananchi wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu haki zao za kisheria na jinsi ya kuzilinda. Maonesho ya Nane Nane yanatoa fursa ya kipekee kwa wananchi kupata elimu ya sheria moja kwa moja kutoka kwa wataalamu.
Posted:
Kupitia maonesho ya Nanenane Wananchi Wanapata nafasi ya kushauriana na wanasheria bila gharama yoyote, jambo ambalo ni msaada mkubwa kwa wale ambao hawawezi kumudu gharama za huduma za kisheria.
Posted:
Thomasa James Peter ameeleza matumaini yake kuhusu kampeni ya msaada wa kisheria, akisema kuwa itakuwa msaada mkubwa kwa wakazi wengi wenye matatizo ya kisheria. Kampeni hii inawalenga pia wale ambao hawana uelewa wa kutosha kuhusu sheria na haki zao. Peter ameongeza kuwa kampeni hiyo itasaidia…
Posted:
Wananchi wamependekeza kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya MSLAC (Msaada wa Sheria kwa Wananchi) kuwa taasisi ya kudumu. Pendekezo hili limeibuka kutokana na msaada mkubwa ambao MSLAC imekuwa ikitoa kwa Watanzania, ikiwemo huduma za ushauri wa kisheria na elimu ya haki za kisheria. Wananchi…
Posted:
Chama cha Wanasheria Tanzania (Tanganyika Law Society - TLS) ni chama cha kitaaluma cha mawakili wa Tanzania Bara. Kimeanzishwa chini ya Sheria ya TLS ya mwaka 1954, ambayo inataja majukumu na kazi zake kama ilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wajibu wa TLS:
Kusimamia…
Posted:
Jitihada za kuhakikisha haki za kisheria za wananchi zinaheshimiwa na kutekelezwa ipasavyo, hasa kwa wale ambao haki zao zimepuuzwa au kupotoshwa. Kwa kuzingatia Katiba ya Tanzania, tunaweza kufafanua suala hili kwa kuangalia vipengele mbalimbali vya katiba vinavyohusu haki za kisheria: 1.…