Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Anayempokea (aliyevaa kofia) ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Rashid Hadid Rashid.
Posted:
Brass Band ikitumbuiza mapema leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Kusini Pemba katika uwanja wa Bustani ya Mwanamashungi.
Posted:
Wananchi mbalimbali mbalimbali wa Chake Chake Pemba wakiwa katika viwanja vya Bustani ya Mwanamashungi kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia leo 5 Mei 2025.
Posted:
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya
Posted:
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya
Posted:
Kampeni hii inalenga kuwafikia wananchi wote hasa wanyonge, kwa kuwapatia elimu ya kisheria na msaada wa moja kwa moja kwenye migogoro yao.
📌 Fuatilia tukio hili moja kwa moja na shuhudia namna serikali inavyoweka mbele haki za kila Mtanzania kupitia sheria!
#MSLAC #MsaadaWaKisheria #MamaSamia #…



