Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Mama huyo ameporwa shamba na nyumba, hali ambayo imezidi kumuweka katika mazingira magumu ya maisha. Afisa huyo alifika kutoa usaidizi wa kisheria na kijamii, akilenga kuhakikisha haki ya mama huyo inalindwa na kwamba anapata mali zake alizonyang’anywa kinyume na sheria. Hatua hii ni sehemu ya…
Posted:
Mama Adamu, mkazi wa Mtaa wa National, Kata ya Manyoni, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, mkoa wa Singida, amekuwa akikabiliwa na changamoto kubwa za maisha baada ya kutelekezwa na mume wake kwa muda mrefu sasa. Pamoja na changamoto hizo, mama huyu alipata kimbilio katika Idara ya Maendeleo ya…
Posted:
@Sheria_Katiba@sisiniTanzania
Posted:
Leo tulitembelea sehemu mbalimbali kama masokoni bunju B na bunju A, kwenye vijiwe vya boda boda na bajaji, stendi ya daladala na kufanikiwa kuonana na mwenyekiti wa umoja wa madereva na madereva wake mama lishe wote wa bunju A na B na vikundi mbali mbali vya watu na kuwapa elimu juu ya msaada wa…
Posted:
Kupitia Kampeni ya Mama Samia legal aid msaada wa kisheria umetolewa kwa kuhakikisha haki na ustawi wa mama na mtoto inapatikana. Msaada wa Kisheria kwa Haki, Usawa na Maendeleo. #mslac #katibanasheria @Sheria_Katiba@sisiniTanzania