Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Tujiunge pamoja kuijenga Tanzania yetu. Kuna mengi tunayoweza kufanya kuboresha nchi yetu, kuanzia kushiriki katika miradi ya maendeleo, kusaidia katika elimu na afya, kukuza biashara na ajira, na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii zetu. Kila mmoja wetu ana jukumu muhimu katika kujenga Tanzania…
Posted:
Katıka kuhakikisha upatikanaji wa msaada wa kisheria Nchini Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Pindi Chana, Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ametoa maelekezo kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria…
Posted:
Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutekeleza falsafa ya '4R' iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya maboresho ya masuala mbalimbali kwenye taasisi zote zilizopo chini yake.#MSLAC #Katibanasheria #SSH
Posted:
#SSH #CCM #KaziIendelee #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #NEMC
Posted:
Sheria ya Haki za Mtoto ya mwaka 2009 nchini Tanzania inatambua haki za watoto, ikiwa ni pamoja na haki ya kupata msaada wa kisheria. Sheria hii inalenga kulinda maslahi ya watoto na kuhakikisha kwamba haki zao zinaheshimiwa na kutekelezwa.#SSH #CCM #KaziIendelee #Sisinitanzania #Matokeochanya #…