Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola unaomaliziaka leo Huko Zanzibar. Mkutanao huo unatarajiwa kufungwa na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hassan Ali Mwinyi. 
Posted:
Uwepo wa teknolojia kama fursa ya kuboresha mifumo ya kisheria, inaweza kutumika kuleta ufanisi na uwazi, na hivyo kuboresha upatikanaji wa haki kwa wananchi. #MSLAC #Nchiyangukwanza #Katibayawatu
Posted:
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya ya Madola una umuhimu mkubwa kwa wananchi wa kawaida wa nchi wanachama, kwani unachangia katika kuboresha mifumo ya sheria na haki, kupunguza ubaguzi, kukuza usawa. #MSLAC #Katibanasheria #Katibayawatu
Posted:
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria pia umekuwa jukwaa la kujenga uwezo wa kitaalam kwa wataalamu wa sheria katika nchi wanachama. #MSLAC #Katibayawatu #Katibanasheria
Posted:
 kutoka #MSLAC #Katibayawatu #Nchiyangukwanza #sisinitanzania
Posted:
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya ya Madola, wenye kauli mbiu 'Haki Sawa kwa Wote: Jinsi Dijitali Inavyofungua Njia ya Upatikanaji wa Haki Unaowazingatia Watu,' unatarajiwa kuwa jukwaa la kipekee la majadiliano kuhusu teknolojia na haki za binadamu. Kauli mbiu hii inalenga kuangazia jinsi…
Posted:
Katika Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya ya Madola mawaziri wa sheria watachunguza njia za maadili za kutumia teknolojia kufanya huduma na habari za kisheria ziweze kupatikana zaidi kwa watu, huku wakichunguza jinsi ya kushughulikia tishio la uhalifu wa kimtandao. #MSLAC 
Posted:
Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya za Madola unatoa fursa kubwa kwa Tanzania kushirikiana na kujifunza kutoka kwa nchi nyingine katika juhudi zake za kuboresha mfumo wa kisheria, hasa kuhusu zoezi la kutafsiri sheria. Kupitia majadiliano na kubadilishana uzoefu na nchi wanachama, Tanzania…
Posted:
Tanzania imeandaa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Jumuiya ya Madola (#Commonwealth Law Ministers Meeting), ambao unalenga kuchunguza maendeleo ya kisheria na kusukuma mifumo ya haki inayozingatia mahitaji ya watu. Mkutano huu, tangu kuanzishwa kwa Jumuiya ya Madola, umekuwa jukwaa muhimu la…
Posted:
MSLAC inatoa misingi ya msaada wa kisheria  kulinda haki za wavuvi, wanyama pori, na misitu kwa njia mbalimbali. Sheria za Tanzania zimeundwa kwa kuzingatia misingi hii ya katiba. Hapa ni baadhi ya mambo yanayozungumziwa katika katiba na sheria za Tanzania kuhusu maliasili hizi.Haki za…