Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) leo Mei 26, 2024 inayofanyika mkoani Njombe
Posted:
Kwa mda ambao mmefanya kampeni hii nimefurahi kupata taarifa kuwa mmeshakwenda kwenye halmshauri 42, kata 452 na Vijiji 1348 mmevifikia na toka mmeanza hii kampeni watu wengi mmeweza kuwafikia""Watu 415,597 mmewasikiliza na hapa nataka kutofautiana na Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Jamii (Mhe. Dkt.…
Posted:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977)- Ibara ya 13: Inatoa haki ya usawa mbele ya sheria na uhuru wa kupata haki kwa usawa bila ubaguzi wowote. - Ibara ya 14: Inatoa haki ya kuishi na kupata ulinzi wa maisha.- Ibara ya 15: Inatoa haki ya uhuru wa kutembea na kuishi popote ndani ya…
Posted:
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Njombe Mei 25, 2024 amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka. 
Posted:
Katika jamii nyingi, uelewa juu ya msaada wa kisheria katika kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia na rushwa unaweza kutofautiana. Baadhi ya watu wanaweza kuwa na uelewa mdogo au hawana ufahamu kabisa juu ya haki zao za kisheria katika kesi za ukatili wa kijinsia na rushwa. Hata hivyo, elimu na…
Posted:
Tarehe 26/05/2024, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, Itafanyika Mkoani Njombe. Na huduma hii ni Bure kabisa kwa Watu wote wataohitaji msaada wa kisheria. TUKO HAPA KUKUHUDUMIA! #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendeleemamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/05/msaada -wa-…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ni huduma zinazotolewa kwa watu ili kuwasaidia kuelewa na kutumia haki zao za kisheria. Umuhimu wa msaada wa kisheria ni mkubwa katika kuhakikisha haki na usawa katika jamii. Hapa kuna baadhi ya faida kuu 10 za msaada wa kisheria:1. Upatikanaji…
Posted:
#KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #PhilipMpango #NEMC https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/05/ni-aina-zipi-za-kesi-zinatazamwa-chini.html 
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #PhilipMpango #NEMC https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/05/makamu-wa-rais-afungua-warsha-ya.html
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC