Video
Posted:
Jiunge nasi katika kuelimisha jamii, kuhamasisha matumizi ya Dawati la Jinsia na Watoto, na kupaza sauti kwa ajili ya haki, usalama na ustawi wa watoto wote.
✅ Elimu ya Haki za Mtoto
✅ Namna ya Kuripoti Ukatili
✅ Wito kwa Viongozi wa Dini, Jamii na Familia
✅ Ushuhuda wa Watoto na Wazazi
✅ Huduma…

👉 Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE na KUTOA MAONI yako kuhusu video hii.
#MsaadaWaKisheria #MSLAC #SamiaSuluhu #KatibaNaSheria #DktNdumbaro #HakiKwaWote #LegalAidTanzania
Posted:
Watetezi wa haki za Mama na Mtoto wamehudhuria banda la Msaada wa Kisheria ili kupata elimu muhimu kuhusu ndoa, umiliki wa ardhi, mirathi, na umuhimu wa kuandika wosia.
Kupitia elimu hii, jamii inapata uelewa wa haki zao na namna ya kuzilinda kisheria, ili kuepuka migogoro ya kifamilia na…
Posted:
👉 Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE na KUTOA MAONI yako kuhusu video hii.
#MsaadaWaKisheria #MSLAC #SamiaSuluhu #KatibaNaSheria #DktNdumbaro #HakiKwaWote #LegalAidTanzania
"ASIYESHUKURU KWA KIDOGO HAWEZI KUSHUKURU KWA KINGI" MSAADA WA KISHERIA UMEPUNGUZA MIGOGORO WILAYANI
Posted:
Huduma za msaada wa kisheria zimeleta mabadiliko makubwa katika kupunguza migogoro wilayani, zikiwasaidia wananchi kupata haki zao kwa njia ya amani na haki. Kupitia elimu ya sheria na usuluhishi, jamii imeweza kutatua changamoto mbalimbali bila kuingia katika migogoro mikubwa.
Tazama video hii…
Posted:
Wananchi Waridhishwa Na huduma Za Kampeni Ya Msaada Wa Kisheria Ya Mama Samia Mkoani Arusha ..
Posted:
Wananchi wa Monduli Juu mkoani Arusha wameeleza kufurahishwa na ujio wa kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria kwenye Kata yao, wakisema wananchi wengi wamekuwa na uoga wa kwenda Mahakamani, Polisi na kwenye vyombo vingine vya maamuzi, hivyo ujio wa wanasheria wa Mama Samia kwenye maeneo yao…
Posted:
Mhe. Amoni Mpanju, Naibu Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, anatoa salaam za Wizara katika uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika mkoani Arusha tarehe 28 Machi 2025.
Katika hotuba yake, Mhe. Mpanju amepongeza…