Skip to main content

Video

Posted:
Kuelekea Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria Mkoani - ARUSHA 📅 Tarehe: [28/03/2025]   Mahali: [ARUSHA - VIWANJA VYA NGARENARO]📷📷 @SuluhuSamia @katibanasheria_   #MSLAC #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #…
Posted:
📢 Jiunge nasi kushuhudia maandalizi haya makubwa kuelekea siku ya uzinduzi! 💬 Tuandikie maoni yako na usisahau kusubscribe, kupenda (like) na kushare video hii ili ujumbe huu wa haki uwafikie wote! #MSLAC2025 #MsaadaWaKisheria #ArushaTukoTayari #SamiaLegalAid #SioNdotoTena #MoyoniTanzaniaKwanza #…
Posted:
Katika hatua muhimu ya kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi, Bi. Moza Mtete amesema kwa matumaini makubwa kuwa sasa wananchi wanaelekea kupata utatuzi wa migogoro yao kwa wakati na kwa haki.   “Tunaamini sasa kwamba wananchi wanakwenda kupata utatuzi wa migogoro yao,” amesema Bi. Mtete…
Posted:
"Kupata aina ya makubaliano ni fursa kubwa, kwani wengi hawapati nafasi ya kusikilizwa kwa haki kuhusu matatizo yao. Hasa barani Afrika, fursa hii ni adimu kwa wengi. Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa huduma hii muhimu kwa Watanzania, ambayo inatoa haki na usawa kwa wote." Pastor George - kutoka…
Posted:
Kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia, haki imetendeka na wananchi wamepata suluhisho la kudumu. Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote! 💙🇹🇿 #MamaSamia #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #Tanzania #Suluhisho
Posted:
📢 “Tunashukuru kwa elimu hii ya msaada wa kisheria, kuna mambo mengi yanatupita tukiwa kijijini, kuna manyanyaso mengi tunapitia na hatujui ni wapi tutakimbilia. Ila kupitia elimu hii, tunaona mwanga wa haki!”   Katika video hii, wananchi wanashuhudia jinsi elimu ya msaada wa kisheria…
Posted:
Wanawake wa jamii za kifugaji wameelezea shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaletea elimu na msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC). Kupitia kampeni hii, wamama wa kifugaji wamepata uelewa kuhusu haki zao…
Posted:
Pastor George kutoka Cameroon amepongeza juhudi za Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, katika kuanzisha na kuendeleza Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC). Akitilia mkazo umuhimu wa mpango huu, Pastor George amesema kuwa kampeni hii ni fursa adhimu kwa Watanzania, hasa wale wa kipato cha…
Posted:
🔔 Usisahau KUSUBSCRIBE kwa habari zaidi za maendeleo ya Tanzania! 👍🏽 Like | 💬 Comment | 🔄 Share #SamiaSuluhu #Tanzania #Maendeleo #Miundombinu #SGR #UchumiImara #kaziiendelee #mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #nchiyangukwanza #nchiyangukwanza #hakikwawote #hakikwawote #…
Posted:
Ni maneno yenye uzito mkubwa kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, yakisisitiza mshikamano, upendo, na mshikamano wa Watanzania katika kujenga taifa imara.Katika hotuba hii, Rais Samia anahimiza umuhimu wa kusaidiana kama jamii, kushirikiana katika maendeleo, na kuwa na moyo wa…
Posted:
Mfumo wa sheria unapaswa kuwa chombo cha kulinda haki za wananchi na kuhakikisha kuwa kila mtu anapata huduma za kisheria kwa usawa. Alisisitiza kuwa misingi ya sheria inapaswa kujengwa katika utoaji wa haki kwa wote bila upendeleo, huku akihimiza kuwa mamlaka zinazohusika zinapaswa kufanya kazi…
Posted:
Tanzania inaendelea kuthibitisha kuwa ni kinara wa haki na usawa kwa wote, bila kujali uraia au asili. Raia wa Cameroon, PASTOR GEORGE ACHO, ambaye alikutana na changamoto za kisheria nchini, ameweza kupata msaada wa kisheria kwa haraka na bila vikwazo kupitia mpango wa Samia Legal Aid Campaign (…