Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
#WizaraYaKatibaNaSheria #Mslac #SSH #Katibanasheria #Kazinaututunasongambele
Posted:
Huduma ya Msaada wa Kisheria inaendelea mkoani Morogoro kwa lengo la kuwafikia wananchi moja kwa moja na kuwapatia elimu ya sheria, ushauri wa kisheria, na msaada wa kutatua changamoto mbalimbali za kisheria wanazokutana nazo katika maisha ya kila siku. Kupitia mpango huu, wananchi wanapatiwa…
Posted:
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, akiwa mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, wakati wa Kliniki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika mkoani Morogoro. Kupitia kliniki hii, wananchi wamepata fursa ya: Kupata ushauri wa kisheria bure…
Posted:
Awamu ya Kwanza ya Mpango wa Msaada wa Kisheria kwa Wananchi (MSLAC) imefanikiwa kuwafikia zaidi ya Watanzania 3,734,157 kote nchini, ikiwa ni hatua kubwa katika kuhakikisha wananchi wanapata haki, elimu ya sheria, na msaada wa kisheria kwa wakati. Katika hatua nyingine, Waziri ametoa maelekezo…
Posted:
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, akiwa mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, wakati wa Kliniki ya Msaada wa Kisheria iliyofanyika mkoani Morogoro. Kupitia kliniki hii, wananchi wamepata fursa ya: Kupata ushauri wa kisheria bure…
Posted:
       Mamia ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro wamejitokeza kwa wingi katika Kliniki Maalumu ya Msaada wa Kisheria inayofanyika katika viwanja vya Standi ya Zamani, Manispaa ya Morogoro. Kliniki hiyo imeandaliwa na Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Dawati la Msaada…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Juma Homera, amefanya kikao maalum na watendaji walio chini ya Wizara hiyo katika Mkoa wa Morogoro kwa lengo la kuakisi na kutathmini utendaji wa Wizara na taasisi zake katika mkoa huo. Kikao hicho kimewakutanisha viongozi na watumishi kutoka Ofisi ya Mwanasheria…
Posted:
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #WizaraYaKatibaNaSheria #kazinaututunasongambele #SSH #HakiKwaWote  Wasiliana nasi: 0262160360
Posted:
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #tanzania #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria
Posted:
Hadithi hii inamgusa Bwana Steven Mgolwa, mjumbe wa mtaa aliyejitokeza kusaidia watoto wawili ambao walitelekezwa baada ya mama yao kulazimika kuondoka kutafuta maisha. Mtoto mmoja ana miaka 14 na anaishi na changamoto ya selimundu, na mdogo wake ana miaka 5. Kupitia ushirikiano kati ya mjumbe,…