Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
JULY 7, 2025 GLOBAL TV ON LINE ILITOA TAARIFA HII
"MIAKA 20+ KWENYE NDOA - AFUKUZWA NYUMBA YAKE - ANAISHI KIBARAZANI - MUME AMUOLEA MKE MPYA AISHI KIBARAZANI Mnamo jioni ya Julai 8, 2025, timu ya maafisa kutoka Wizara ya Katiba na Sheria ikijumuisha Wakili Msomi Moses Matiko, Michael na…
Posted:
Katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba jijini Dar es Salaam, wahudumu wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) wameendelea kutoa msaada wa kisheria bure kabisa kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali.
Wananchi waliotembelea banda la MSLAC wameeleza kufurahishwa na…
Posted:
Wanasheria na maofisa wa MSLAC wanaendelea kutoa huduma kwa moyo wa kujitolea, wakitoa ushauri wa moja kwa moja kwa wananchi, huku wakihamasisha utatuzi wa migogoro kwa njia ya maridhiano. #mslac #hakikwawote #daressalaam #samiasuluhu #siondototena #msaadawakisheria
Posted:
Maelfu ya wananchi wamejitokeza katika banda la MSLAC katika Viwanja vya Sabasaba ili kupata elimu juu ya haki zao, masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, ajira na ukatili wa kijinsia – yote yakitolewa bure na wataalamu wa sheria. #hakikwawote #mslac #msaadawakisheria #siondototena #…
Posted:
Katika Maonesho ya 61 ya Kimataifa ya Biashara ya SabaSaba, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam – Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeweka historia kwa kujenga kambi rasmi ya utoaji elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, ikiwa ni…



