Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) imejizatiti kupambana na changamoto na migogoro inayowakumba kina mama nchini, ikiwemo migogoro ya ardhi, ndoa, urithi, na ukatili wa kijinsia. Kupitia utoaji wa elimu ya kisheria na njia mbadala za utatuzi wa migogoro kama usuluhishi na maridhiano,…
Posted:
Katika kijiji cha Mnaida, kata ya Tangazo, Halmashauri ya Mtwara DC, wananchi wameendelea kunufaika na elimu ya sheria pamoja na huduma za msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi kuelewa haki zao za kisheria na kupata usaidizi…
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@biteko
@katibanasheria_
@profkabudipjam
@Victoria.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi
Posted:
Maelfu ya wakazi wa Kilimanjaro walijitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) uliofanyika tarehe 29 Januari 2025. Uzinduzi huu ulifanyika katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi, ukiwa na lengo la kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu msaada wa…