Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
"Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuendelea kuboresha Mfumo wa Haki Jinai ikiwemo kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu maendeleo ya Kisheria na kuimarisha upatikanaji Haki kwa wote hususani kwa wale wasiokuwa na uelewa kuhusu masuala ya Kisheria na wale walio na changamoto za Kisheria wanapata Haki kupitia…
Posted:
Akizungumza na Wananchi kupitia Vyombo vya Habari na nukuu “Katika Utekelezaji wa Mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai, Mwakani 2025 tutakamilisha Sera na Kufanya marekebisho ya Sheria mbalimbali zinazohusiana na masuala ya Haki Jinai. Tutaendelea pia kutoa Msaada wa Kisheria kwa wahitaji; hadi sasa…
Posted:
Moja Kuongeza uelewa kwa wananchi kuhusu masuala ya haki, mifumo ya kisheria iliyopo, haki za
binadamu na haki za makundi maalumu, mifumo ya utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala na masuala ya upatikanaji haki kwa ujumla; Pili; kulinda na kukuza haki kupitia mfumo wa msaada wa kisheria; …
Posted:
Kauli mbiu hii inaashiria azma ya Mhe. Rais ya kulinda, kukuza na kutetea Haki za Wananchi wanyonge na kupinga
vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu, misingi ya utawala bora, ukatili wa kijinsia na kuheshimu utawala bora na utawala wa Sheria ambayo ni msingi wa maendeleo ya Nchi. Kampeni hii…
Posted:
SASA KILA MTANZANIA ANAPATA MSAADA WA KISHERIA KUTOKA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA yaani MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN - MSLAC
Fuatilia taarifa hii ya Bi Halima na namna MSLAC ilivyorudisha tumaini la maisha yake na watoto wake #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu
#KaziIendelee
Posted:
Mafunzo yanayoendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria kwa waratibu wa mikoa na halmashauri kuhusu utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) yanatarajiwa kuimarisha uwezo wa waratibu hao kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi. Kufikia tarehe 24 Januari 2024, waratibu hawa…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinafikia Watanzania kwa ufanisi. Katika hatua ya kuimarisha utekelezaji wa kampeni hii, mafunzo maalum yametolewa kwa waratibu wa MSLAC kutoka maeneo mbalimbali…
Posted:
Katika hatua ya kuimarisha utekelezaji wa kampeni hii, mafunzo maalum yametolewa kwa waratibu wa MSLAC kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Mafunzo haya yamewalenga waratibu wa kampeni kwa lengo la kuwaongezea ujuzi na maarifa ya jinsi ya kusimamia, kuratibu, na kufikisha huduma za msaada wa kisheria…
Posted:
"Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutekeleza kwa mafanikio maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, yanayolenga kuboresha mifumo ya utoaji haki, kuimarisha utawala wa sheria, na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila ubaguzi."
Bi- Ester Msambazi…



