Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Tarehe 25 Januari 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, kwa kushirikiana na timu ya wanasheria mahiri kupitia Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Mama Samia (MSLAC), wanaendelea na juhudi za kupeleka huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wa Kigoma, kata ya Kibilizi. Mpango huu umejikita katika…
Posted:
Hatua Madhubuti za Kuimarisha Uongozi wa Serikali za Mitaa Kigoma, Tanzania – Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea na kampeni yake ya kuimarisha uwezo wa viongozi wa Serikali za Mitaa kwa kutoa mafunzo ya kina kuhusu  Elimu ya Uraia na Utawala Bora. Mafunzo haya yanalenga kuwajengea viongozi…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imezinduliwa rasmi leo, tarehe 24 Januari 2025, katika Uwanja wa Mwanga Community Center, mkoani Kigoma. Uzinduzi huu umehudhuriwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, pamoja na viongozi wengine wa serikali na wadau mbalimbali.Kampeni hii…
Posted:
Mkoa wa Kigoma umeendelea kunufaika na huduma za msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambayo inalenga kutoa elimu ya kisheria na kuhakikisha haki za wananchi zinazingatiwa. Msaada huu wa kisheria unalenga makundi mbalimbali ya jamii, yakiwemo wakulima, wavuvi,…
Posted:
Mafunzo ya kuwajengea uwezo watoa Huduma za Msaada wa Kisheria katika  Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign)Kutoka Halmashauri  zote za mkoa wa Kigoma yanaendelea katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Kampeni ya MSLAC inaanza rasmi…
Posted:
Serikali, Kupitia Kamieni ya Msaada wa Kisheria   (MSLAC), inaendelea kutoa msaada wa kisheria kwa jamii ili kuhakikisha kwamba kila raia anapata haki yake bila ubaguzi. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan Ikulu…
Posted:
Masuala ya ndoa, ikiwemo talaka, migogoro ya kifamilia, na ulinzi wa watoto, ni changamoto nyingine inayohitaji msaada wa kisheria. Wanandoa mara nyingi hukosa uelewa wa haki zao kisheria, jambo linalopelekea migogoro kuendelea. Msaada wa kisheria unasaidia kwa: - Kuelimisha wanandoa kuhusu haki…
Posted:
Migogoro ya ardhi ni miongoni mwa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kutokana na umiliki, matumizi, na mipaka ya ardhi. Sababu kuu za migogoro hii ni ukosefu wa hati miliki, uvamizi wa ardhi, na kutokuelewana kati ya familia au majirani. Kupitia msaada wa kisheria, wananchi wanapewa elimu kuhusu…
Posted:
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kitongoji cha Nyakahanga, Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, afisa wa Dawati la Msaada wa Kisheria alipata nafasi ya kutoa elimu muhimu kwa wananchi kuhusu masuala ya kisheria. Elimu hiyo ililenga kuwajengea ufahamu wa haki zao za msingi na jinsi ya kushughulikia…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria imefika Manispaa ya Morogoro, katika Kata ya Kilakala, Mtaa wa Kola,  madereva wa bodaboda wamepewa maarifa kuhusu haki zao za kisheria, wajibu wao, na namna ya kushughulikia changamoto mbalimbali wanazokutana nazo kazini. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC) inatoa elimu na msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi wote.Lengo ni kujenga jamii inayoheshimu sheria na kuhakikisha haki kwa kila mtu bila ubaguzi. Pamoja, tunaweza kuimarisha usawa, amani, na maendeleo kwa kuhakikisha kila mmoja anapata haki yake…
Posted:
MSLAC yaiokoa kupigwa mnada na Benki.NI baada ya Mumewe kukopa kiasi kikubwa cha fedha, kuweka nyumba hiyo kama dhamana bila kumshirikisha mkewe kisha kutoweka na fedha za mkopo kusikojulikana.