Skip to main content

Video

Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria iliyopewa jina la "Matembezi ya Amani na Msaada wa Kisheria" imepata mwitikio mkubwa mkoani Morogoro. Hii ni sehemu ya juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinawafikia…
Posted:
Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria na Elimu kwa Umma katika Mkoa wa Morogoro ulifanyika kwa mafanikio makubwa. Kampeni hii ni sehemu ya mpango wa kitaifa unaoendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya sheria, vyombo vya habari, na mashirika ya kijamii.…
Posted:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo mahususi kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, kuhakikisha kuwa sheria za nchi zinasimamiwa ipasavyo na kuheshimiwa. Rais Samia alisisitiza umuhimu wa utekelezaji wa sheria kwa haki na usawa ili…
Posted:
Mkurugenzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), Bi. Ester Msambazi, ametoa wito kwa wananchi wote wa Tanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki na kufaidika na huduma za msaada wa kisheria wakati wa kampeni inayotarajiwa kutekelezwa katika mikoa ya Iringa, Songwe, Mara, na Morogoro. Kampeni hii…