Video
Posted:
"Wizara ya Katiba na Sheria imeendelea kutekeleza kwa mafanikio maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, yanayolenga kuboresha mifumo ya utoaji haki, kuimarisha utawala wa sheria, na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote bila ubaguzi."
Bi- Ester Msambazi…
Posted:
Uimarisha maadili ya utawala bora kwa kuhakikisha wananchi wanaheshimu sheria, kutetea haki zao, na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa jamii yenye usawa na haki.
Posted:
Halima, mjane wa miaka 45 kutoka Lyabukande, Shinyanga, alikumbana na changamoto baada ya kifo cha mume wake, Hamisi, pale ndugu wa mume walipotaka kumvua mali zote za familia. Bila uelewa wa sheria, alihisi hana msaada hadi alipopewa msaada na mawakili wa MSLAC. Mawakili walimsaidia kisheria…
Posted:
Mama mmoja aliyekuwa na mgogoro wa ardhi amefanikiwa kupata haki yake kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), iliyofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa, mkoani Iringa. Wakati wa kampeni hiyo, mama huyo alifika na kueleza changamoto yake ya mgogoro wa…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ( MSLAC) inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa Watanzania wote, hususan wale wanaokumbwa na changamoto za kupata huduma za kisheria kwa sababu ya ukosefu wa fedha au uelewa. Kampeni inatoa msaada katika nyanja mbalimbali za sheria ikiwemo haki za…
Posted:
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama wameonyesha furaha na shukrani zao za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa kuanzisha na kufanikisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC). Kampeni hii inalenga kuhakikisha haki za wananchi,…
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha haki inawafikia wananchi wa kila kona ya Tanzania, huduma ya msaada wa kisheria sasa imeimarishwa kwa kupata usafiri wa kisasa. Hatua hii ni sehemu ya mkakati wa kupanua wigo wa huduma za kisheria kwa wananchi wote, hususan wale wa maeneo ya vijijini na walio katika…
Posted:
Katika wilaya za Kilombero na Kidatu, kumekuwepo na juhudi kubwa za kuhakikisha wananchi wanapata msaada wa kisheria kupitia mpango wa Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Mpango huu umeanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wananchi, hasa wale wa kipato cha chini, kutatua changamoto mbalimbali za…