Skip to main content

Video

Posted:
Maelfu ya wakazi wa Kilimanjaro walijitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia (MSLAC) uliofanyika tarehe 29 Januari 2025. Uzinduzi huu ulifanyika katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi, ukiwa na lengo la kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu msaada wa…

Tarehe 25 Januari 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, kwa kushirikiana na timu ya wanasheria mahiri kupitia Mpango wa Msaada wa Kisheria wa Mama Samia (MSLAC), wanaendelea na juhudi za kupeleka huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wa Kigoma, kata ya Kibilizi. Mpango huu umejikita katika…

MSLAC yaiokoa kupigwa mnada na Benki.NI baada ya Mumewe kukopa kiasi kikubwa cha fedha, kuweka nyumba hiyo kama dhamana bila kumshirikisha mkewe kisha kutoweka na fedha za mkopo kusikojulikana.
Posted:
SASA KILA MTANZANIA ANAPATA MSAADA WA KISHERIA KUTOKA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA yaani MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN - MSLAC Fuatilia taarifa hii ya Bi Halima na namna MSLAC ilivyorudisha tumaini la maisha yake na watoto wake #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee
Posted:
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha huduma za msaada wa kisheria zinafikia Watanzania kwa ufanisi. Katika hatua ya kuimarisha utekelezaji wa kampeni hii, mafunzo maalum yametolewa kwa waratibu wa MSLAC kutoka maeneo mbalimbali…