Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
"KITENDO CHA KUUNDA TUME YA MABORESHO YA HAKI JINAI , NIMEAMINI MHE.RAIS NI MTU WA HAKI" ACP FUMBUKA
Posted:
Tume kama hii inalenga kuchunguza na kutoa mapendekezo ya kuboresha mfumo wa haki jinai ili kuhakikisha kuwa sheria inatekelezwa kwa haki na kwa njia inayoheshimu haki za binadamu. Hatua hii inaonyesha dhamira ya kujenga mfumo wa sheria wenye ufanisi zaidi na wa kuaminika, ambao unalinda haki za…
"JAMII INAKENGEUKA KWENYE UPANDE WA MALEZI, NI VEMA WAZAZI WAKACHUKUA HATUA ZA KIMALEZI MAPEMA "....
Posted:
Kauli ya Koplo Sevelinah inasisitiza umuhimu wa malezi bora katika jamii kama njia ya kupunguza idadi ya watuhumiwa. Anapendekeza kwamba wazazi na walezi wanapaswa kuchukua hatua za kimalezi mapema katika malezi ya watoto. Hii ni kwa sababu mazingira ya malezi yanaweza kuathiri sana maendeleo na…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria Ya Mama Samia , yatoa mafunzo kwa maafisa wa jeshi la polisi na magereza namna bora ya Kutoa adhabu mbadala kwa watuhumiwa kwa kuzingatia haki na Sheria za kibinadamu.
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM
Posted:
mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/06/mkutano-wa-kitaifa-wa-mawaziri-wa.html… #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee
Posted:
mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/06/mkutano-wa-kitaifa-wa-mawaziri-wa.html… #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee
Posted:
Bi. Veronica Sigalla akimwakilisha Mkurugenzi mkazi wa UNDP hapa nchini amelishukuru Jeshi la Magereza kwa kazi kubwa wanayofanya kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kupunguza kasi kubwa ya malalamiko ya ukiukwaji wa Haki za binadamu kwani bila uongozi mzuri na dhabiti lisingewezekana,pia…

Kamishna wa Sheria na uendeshaji wa Magereza Nchini CP Nicodemus Menyamsumba Tenga amewataka Maafisa wa Jeshi la Polisi na Magereza nchini kuhakikisha wanasimamia haki zote za binadamu katika maeneo yao ya kazi.