Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Kanda ya Pwani, Elieza Okororo, ambaye ni Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Pwani, amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwepo kwa Dawati la Msaada wa Kisheria, akisisitiza kuwa hatua hiyo imeimarisha upatikanaji wa haki na ulinzi kwa wanawake…
Posted:
Dr. Alice Kaijage anatoa wito kwa Watanzania wote kujitokeza kwa wingi ili kunufaika na huduma za msaada wa kisheria. Katika hotuba yake, anasisitiza umuhimu wa wananchi kufahamu haki zao za kisheria na jinsi msaada wa kisheria unavyoweza kuwasaidia katika kutatua changamoto mbalimbali, ikiwa ni…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanatumia kikamilifu fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Akizungumza Machi 3, 2025, Makonda ameonya kuwa hakuna sababu ya mwananchi kubaki na changamoto za…
Posted:
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, ameendelea kuonyesha dhamira yake katika kusimamia maendeleo ya kijamii kwa kufuatilia kwa karibu jinsi wataalamu wa ufuatiliaji wa taarifa kutoka MSLAC wanavyofanya kazi yao jijini Arusha. Hatua hii imekuja katika wiki maalum ya Mama Duniani, ikiwa ni…
Posted:
Katika juhudi za kuhakikisha sauti za wananchi zinasikika na changamoto zao zinapatiwa suluhisho, Mslac imejitosa kwa kina kuchambua kila taarifa iliyowasilishwa na wananchi wa Arusha. Zoezi hili limeonyesha taswira halisi ya matatizo yanayowakumba wakazi, ikiwemo changamoto za kijamii, kiuchumi,…
Posted:
Jeshi la Polisi laendelea Kutoa Elimu ya Kisheria juu ya Usalama Barabarani. Elimu ya kisheria inaendelea kutolewa na Koplo Rehema Makala, askari wa usalama barabarani, ambaye ameendelea kutekeleza jukumu lake la kutoa maarifa kwa wananchi kwa lengo la kuimarisha usalama barabarani. …
Posted:
NITAKRIBANI MIAKA KUMI NA NNE SASA MZEE NYAMONGE MATUTU MKAZI WA JIJINI MWANZA KITANGILE AMEKUWA AKIHANGAIKA NA MGOGORO WA SHAMBA LAKE BILA KUPATA HAKI YAKE. LAKINI KUPITIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA , MWANGA WA HAKI WAANZA KUONEKANA.
#sisinitanzania #mslac #…
Posted:
Katika uzinduzi wa kampeni hiyo, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Jumanne Sagini, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, waliongoza shughuli za utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi. Kliniki za kisheria ziliwekwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, ambapo…
Posted:
Arusha, Machi 1, 2025 – Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maximilian, ametangaza kuwa zaidi ya watu laki nne wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika jijini Arusha.Akizungumza na waandishi wa habari, Mhe. Maximilian amesema maandalizi yote muhimu…