Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Katika jitihada za kuboresha ustawi wa jamii na maendeleo ya wananchi, Afisa Maendeleo aliendelea kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi ili kutafuta njia bora za kuzitatua.   Wakati wa mkutano huu, wananchi walipata fursa ya kueleza matatizo yao, huku Afisa Maendeleo akisikiliza kwa…
Posted:
RUKWA – Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakionesha shukrani na pongezi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea huduma hii muhimu inayolenga kuwapatia haki na uelewa wa masuala ya kisheria. …
Posted:
Monduli, 25 Februari 2025 – Maafisa wa Kisheria wa Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) kwa kushirikiana na Afisa Elimu ya Msingi Wilaya ya Monduli na viongozi wengine, wamehudhuria mkutano wa dharura uliofanyika Makuyuni kufuatia tukio la ukatili dhidi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Makuyuni…
Posted:
Rukwa, Tanzania – Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeendelea kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwa kutoa msaada wa kisheria na elimu juu ya haki za msingi za kisheria. Zoezi hili linalenga kuwasaidia wananchi, hususan wale wa kipato cha chini, kupata uelewa sahihi…
Posted:
Dodoma, 25 Februari 2025 – Maafisa wa maendeleo dawati la msaada wa kisheria leo wamehudhuria ufunguzi wa Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, eneo la zamani la CDA, karibu na SIDO. Kliniki hii imepangwa kuhudumu kwa siku nne, kuanzia tarehe 25 hadi 28…
Posted:
TANDAHIMBA, MTWARA – Februari 25, 2025   Maafisa Maendeleo kutoka Dawati la Msaada wa Kisheria katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, leo walitoa elimu juu ya msaada wa kisheria wa Mama Samia kwa wakazi wa Kijiji cha Chitoholi Juu, Kata ya Mkundi. Katika mkutano huo,…
Posted:
Katika juhudi za kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu, hafla ya utoaji wa mikopo pamoja na kukabidhi mashine za uchakataji wa tangawizi kwa vikundi vya wajasiriamali ilifanyika mkoani Kigoma, katika Kata ya Buhigwe DC, Wilaya ya Buhigwe.Hafla hii ilihudhuriwa na viongozi wa…
Posted:
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @biteko @sisinitanzania @airtanzania_atcl @arusha_nationalpark #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #…
Posted:
Pwani, Tanzania – Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha wananchi wanapata haki zao kwa urahisi na bila gharama.Uzinduzi wa kampeni hiyo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa…
Posted:
Mwanza, Nyamagana – Mpango wa Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) umefika rasmi katika Mtaa wa Kambarage, Kata ya Butimba, ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kwa lengo la kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria na huduma muhimu za haki za kisheria.   Katika zoezi hili,…
Posted:
Mtama, Lindi – Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign - MSLAC) imeendelea kutekeleza dhamira yake ya kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria katika Mkoa wa Lindi, hususan katika Halmashauri ya Mtama, Kata ya Mandwanga.   Katika zoezi hili muhimu…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi ili kupata huduma hii bure na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan…