Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Jeshi la Polisi laendelea Kutoa Elimu ya Kisheria juu ya Usalama Barabarani. Elimu ya kisheria inaendelea kutolewa na Koplo Rehema Makala, askari wa usalama barabarani, ambaye ameendelea kutekeleza jukumu lake la kutoa maarifa kwa wananchi kwa lengo la kuimarisha usalama barabarani.  …
Posted:
NITAKRIBANI MIAKA KUMI NA NNE SASA MZEE NYAMONGE MATUTU MKAZI WA  JIJINI MWANZA  KITANGILE AMEKUWA  AKIHANGAIKA NA MGOGORO WA SHAMBA LAKE BILA KUPATA HAKI YAKE. LAKINI KUPITIA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA , MWANGA WA HAKI  WAANZA KUONEKANA. #sisinitanzania #mslac #…
Posted:
Katika uzinduzi wa kampeni hiyo, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Jumanne Sagini, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, waliongoza shughuli za utoaji wa msaada wa kisheria kwa wananchi. Kliniki za kisheria ziliwekwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa, ambapo…
Posted:
Arusha, Machi 1, 2025 – Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maximilian, ametangaza kuwa zaidi ya watu laki nne wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika jijini Arusha.Akizungumza na waandishi wa habari, Mhe. Maximilian amesema maandalizi yote muhimu…
Posted:
Wakazi wa Mkoa wa Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni ya msaada wa kisheria iliyoanzishwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kampeni ambayo ilizinduliwa rasmi leo mkoani humo. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi kwa kuwapa elimu kuhusu haki zao za kisheria na kusaidia…
Posted:
Ilizinduliwa rasmi tarehe 1 Machi 2025 mkoani Arusha. Kampeni hii imelenga kuwasaidia wananchi kutatua migogoro yao mbalimbali na kutoa elimu kuhusu msaada wa kisheria.Kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Jumanne Sagini, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul…
Posted:
Lengo kuu ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #…
Posted:
Maafisa wa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wameendelea na juhudi za kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria, safari hii wakifika katika Kata ya Minyughe.  Maafisa wa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida,…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuwafikia wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo safari hii imetua katika Kijiji cha Tamasenga, Kata ya Pito, Halmashauri ya Manispaa, mkoani Rukwa.  Kupitia mnada wa Tamasenga, timu ya MSLAC ilikutana na wananchi wa eneo…
Posted:
Maafisa Maendeleo ya Jamii-Dawati la Msaada wa kisheria wameendelea kutoa Elimu ya Msaada wa kisheria, ukatili wa Kijinsia, Haki za binadamu, haki za makundi mbalimbali na namna kutoa taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili wa Kijinsia katika shule ya Msingi Mkimbizi.  #MSLAC #Katibanasheria #…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuwafikia wananchi, safari hii ikiwa ni katika Kata ya Mwandege, vijiji vya Mkokozi, Mwandege, na Kipala. Katika ziara hiyo, wananchi walieleza changamoto kubwa inayowakabili—mtaro wa maji kuzibwa kutokana na ujenzi unaoendelea katikati…