Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Wakazi wa Mkoa wa Arusha wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni ya msaada wa kisheria iliyoanzishwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kampeni ambayo ilizinduliwa rasmi leo mkoani humo. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi kwa kuwapa elimu kuhusu haki zao za kisheria na kusaidia…
Posted:
Ilizinduliwa rasmi tarehe 1 Machi 2025 mkoani Arusha. Kampeni hii imelenga kuwasaidia wananchi kutatua migogoro yao mbalimbali na kutoa elimu kuhusu msaada wa kisheria.Kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Jumanne Sagini, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul…
Posted:
Lengo kuu ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini.
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #…
Posted:
Maafisa wa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wameendelea na juhudi za kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria, safari hii wakifika katika Kata ya Minyughe. Maafisa wa Maendeleo ya Jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida,…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuwafikia wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, ambapo safari hii imetua katika Kijiji cha Tamasenga, Kata ya Pito, Halmashauri ya Manispaa, mkoani Rukwa. Kupitia mnada wa Tamasenga, timu ya MSLAC ilikutana na wananchi wa eneo…
Posted:
Maafisa Maendeleo ya Jamii-Dawati la Msaada wa kisheria wameendelea kutoa Elimu ya Msaada wa kisheria, ukatili wa Kijinsia, Haki za binadamu, haki za makundi mbalimbali na namna kutoa taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili wa Kijinsia katika shule ya Msingi Mkimbizi.
#MSLAC
#Katibanasheria
#…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imeendelea kuwafikia wananchi, safari hii ikiwa ni katika Kata ya Mwandege, vijiji vya Mkokozi, Mwandege, na Kipala. Katika ziara hiyo, wananchi walieleza changamoto kubwa inayowakabili—mtaro wa maji kuzibwa kutokana na ujenzi unaoendelea katikati…
Posted:
Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, wakionesha shukrani na pongezi kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea huduma hii muhimu inayolenga kuwapatia haki na uelewa wa masuala ya kisheria.@…
Posted:
@ikulu_mawasiliano
@samia_suluhu_hassan
@ikulu_habari
@katibanasheria_
@damasndumbaro_official
@sisinitanzania
#mslac #mslaccampaign #katibanasheria #sisinitanzania
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza…
Posted:
Yakiwa chini ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu @PaulMakondaArusha ya Haki, Amani, Usawa na Maendeleo , jitokeze Kupata Haki sasa…