Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Msalaba Mwekundu unahamasisha jamii kujenga utamaduni wa ukarimu na kujitolea, hali inayoimarisha mshikamano na umoja wa kijamii.Kwa kufanya kazi bila ubaguzi na kusaidia watu wote bila kujali tofauti zao, Msalaba Mwekundu unachangia kujenga na kuimarisha amani na utulivu katika jamii.#NEMC #…
Posted:
#NEMC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #trcs1962
Posted:
#NEMC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC
Posted:
Tujiunge pamoja kuijenga Tanzania yetu. Kuna mengi tunayoweza kufanya kuboresha nchi yetu, kuanzia kushiriki katika miradi ya maendeleo, kusaidia katika elimu na afya, kukuza biashara na ajira, na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii zetu. Kila mmoja wetu ana jukumu muhimu katika kujenga Tanzania…
Posted:
Katıka kuhakikisha upatikanaji wa msaada wa kisheria Nchini Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Pindi Chana, Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ametoa maelekezo kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria…