Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Haki za Kijadi na Mila: Haki za ardhi zinaweza pia kutambuliwa chini ya taratibu za kijadi na mila. Watu wanaweza kuwa na haki za ardhi kulingana na mila na desturi za jamii husika.
Posted:
Wosia ni nyaraka ya kisheria ambayo inaonyesha matakwa na maagizo ya mtu kuhusu namna mali yake itakavyogawiwa baada ya kifo chake. Wosia unaweza kujumuisha maelekezo kuhusu jinsi mali inapaswa kugawiwa kati ya warithi, uteuzi wa wasimamizi wa mali, na mambo mengine yanayohusiana na urithi wa mtu.…
Posted:
Sheria za mirathi nchini Tanzania zinalenga kuhakikisha haki sawa na haki za kibinadamu katika mchakato wa mirathi. kushughulikia migogoro, na kuhakikisha kuwa mchakato wa kurithi unafanyika kwa haki na kwa mujibu wa sheria. MSLAC yamfuta machozi mjane. Faraja kwa wajane waopitia changamoto za…
Posted:
Haki za ardhi zinafafanuliwa na kusimamiwa na sheria kadhaa. Sheria kuu inayoshughulikia masuala ya ardhi ni, Sheria Na. 4 ya Mwaka 1999. Sheria hii inatoa miongozo kuhusu umiliki wa ardhi, matumizi ya ardhi, na utatuzi wa migogoro ya ardhi. #MSLAC @ikulumawasliano @SuluhuSamia pic.twitter.com/…
Posted:
MIGOGORO ya ardhi imetajwa kuwa ni ndio moja ya kero kubwa kwa wananchi wilayani Iramba Mkoani hapa na imesababisha kutumia muda mwingi kutafuta haki hiyo maeneo mbalimbali ya utoaji haki.Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano wa hadhara kati ya wananchi na timu ya kampeni ya huduma ya msaada wa…
Posted:
Wosia ni nyaraka ya kisheria ambayo inaonyesha matakwa na maagizo ya mtu kuhusu namna mali yake itakavyogawiwa baada ya kifo chake. Wosia unaweza kujumuisha maelekezo kuhusu jinsi mali inapaswa kugawiwa kati ya warithi, uteuzi wa wasimamizi wa mali, na mambo mengine yanayohusiana na urithi wa mtu.…
Posted:
Ibara ya 13 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara hii inaonyesha nia ya serikali kuwa na jamii iliyoelemika kisheria na yenye uelewa wa masuala ya kisheria. Hii ni sehemu ya juhudi za kuwapa wananchi nguvu ya kushiriki kikamilifu katika michakato ya kisheria na kuwa na ufahamu wa haki…
Posted:
Makamu Mwenyekiti Taifa na Mwenyekiti Mkoa wa Singida,wa chama cha wanaume wanaiofanyiwa vitendo vya ukatili hapa nchini, Bw. Selema akitoa uzoefu wa ukatili wa kinjinsia kwa wanaume, katika kikao cha wananchu kikichofanyika katika viwanja vya Stendi Kata Makiungu na Mghaa wilayani Ikungu.
Posted:
Kampeni hii inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kisheria kwa wananchi. Kwa kutoa mwongozo wa jinsi wanasheria wanavyoweza kutoa huduma za kisheria bure katika kila mkoa na wilaya, inalenga kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kufikia msaada wa kisheria bila gharama kubwa.Elimu kwa Wananchi.…
Posted:
Waathiriwa wa unyanyasaji wa kijinsia mara nyingi hupata majeraha ya kimwili, kihisia, na kisaikolojia. Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imejikita kutoa Huduma za usaidizi ikiwa ni pamoja na ushauri nasaha, usaidizi wa kisheria, na matibabu, ni muhimu kwa walionusurika. Sheria na…
Posted:
Ukatili wa Kijinsia wa aina yoyote unajumuisha shughuli za ngono bila ridhaa au kulazimishwa. Ukatili wa Kijinsia ni neno pana ambalo linajumuisha vitendo na tabia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ubakaji, unyanyasaji wa kijinsia na aina nyingine za mawasiliano ya ngono yasiyotakiwa. Unyanyasaji wa…