Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa akifanya kikao pamoja na Timu ya MSLAC wilaya ya Kilwa na kuwapa maelekezo kabla hawajaanza utekelezaji wa kampeni.#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya
Posted:
Turn your videos into live streams with https://restream.io
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Lindi. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki…
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Lindi. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 19 Februari 2025
📍 Mahali: Ruangwa…

Mwanza, Februari 2025 – Zoezi la utoaji wa msaada wa kisheria jijini Mwanza limeendelea kushuhudia mwitikio mkubwa wa wananchi wanaohitaji ushauri na mwongozo wa kisheria kuhusu masuala mbalimbali, ikiwemo ardhi, mirathi, ndoa, masuala ya jinai, ukatili wa kijinsia, na ajira. Akizungumza…
Posted:
Mwanza, Tanzania – Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeonyesha mshikamano na kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa kushirikiana katika kushughulikia masuala ya usalama barabarani, makosa ya jinai, na kutoa ushauri wa kisheria kwa wananchi wa mkoa huo.Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni…
Posted:
#hayanimatokeochanya #sisinitanzania #katibanasheria #nchiyangukwanza #SSH #mslac
@chogompakuaji
@matokeochanya
@MsLACampaign
@Sheria_Katiba
@sisiniTanzania
@SuluhuSamia
Posted:
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya #news
Posted:
#sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya #news
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Lindi. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.
📅 Tarehe: 19 Februari 2025
📍 Mahali: Ruangwa…
Posted:
Amewasili hapo kwa ajili ya kushiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria.
Posted:
Jiunge nasi kwenye matangazo ya moja kwa moja ya YouTube kushuhudia Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Mwanza. Kampeni hii inalenga kutoa elimu na msaada wa kisheria kwa wananchi, kuhakikisha haki inapatikana kwa wote.📅 Tarehe: 18 Februari 2025
📍 Mahali: Mwanza…