Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @biteko @sisinitanzania @airtanzania_atcl @arusha_nationalpark #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #…
Posted:
Pwani, Tanzania – Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua rasmi Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha wananchi wanapata haki zao kwa urahisi na bila gharama.Uzinduzi wa kampeni hiyo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa…
Posted:
Mwanza, Nyamagana – Mpango wa Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) umefika rasmi katika Mtaa wa Kambarage, Kata ya Butimba, ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kwa lengo la kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria na huduma muhimu za haki za kisheria.   Katika zoezi hili,…
Posted:
Mtama, Lindi – Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign - MSLAC) imeendelea kutekeleza dhamira yake ya kuwapatia wananchi elimu ya msaada wa kisheria katika Mkoa wa Lindi, hususan katika Halmashauri ya Mtama, Kata ya Mandwanga.   Katika zoezi hili muhimu…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi ili kupata huduma hii bure na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi.@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan…
Posted:
#Sisinitanzania #MSLAC #Katibanasheria #Hakingowi
Posted:
Tazama uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikilenga kutoa elimu ya haki za kisheria na huduma za ushauri kwa wananchi. Kampeni hii inalenga kusaidia jamii kuelewa haki zao na kupata msaada wa kisheria kwa urahisi. Jiunge nasi kushuhudia mafanikio na athari chanya…
Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria imefanikiwa kuwafikia wananchi wa Pwani, ikitoa elimu ya haki za kisheria na huduma za ushauri kwa jamii. Kupitia juhudi za wataalam wa sheria na mashirika husika, wananchi wamepata mwanga kuhusu taratibu za kisheria, haki zao za msingi, na namna ya kupata msaada wa…
Posted:
Ambapo kampeni hii imefika mtaa wa MNAZI MMOJA  kitongoji cha MNAZI MOJA , kata ya MASOKO , katika halmashauri ya wilaya ya KILWA, Mkoa wa LINDI   ELIMU ZILIZOTOLEWA  Mirathi na wosia  Ndoa  Ardhi Ukatili wa kijinsia @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @samia_suluhu_hassan…