Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
MSLAC inachangia katika kuhakikisha upatikanaji wa haki, ulinzi wa haki za binadamu, na maendeleo ya jamii kwa ujumla. #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Posted:
Msaada wa kisheria ndani ya maonesho ya Nane Nane yanalenga kuhakikisha kuwa wananchi wanapata elimu ya sheria, huduma za ushauri, na ufumbuzi wa matatizo mbalimbali ya kisheria wanayokumbana nayo katika maisha yao ya kila siku. #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu
Posted:
Tunakualika kutembelea banda la MSLAC na kupata msaada wa kisheria bure. Ni fursa ya kipekee kwa wananchi wote kupata ushauri na msaada wa kisheria kwa masuala mbalimbali. Karibu tujenge Tanzania yenye haki na usawa. #MSLAC
Posted:
Chama cha Wanasheria Tanzania (Tanganyika Law Society - TLS) ni chama cha kitaaluma cha mawakili wa Tanzania Bara. Kimeanzishwa chini ya Sheria ya TLS ya mwaka 1954, ambayo inataja majukumu na kazi zake kama ilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wajibu wa TLS:
Kusimamia…
Posted:
https://mamasamialegalaidcampaign.blogspot.com/2024/07/kikao-kazi-cha-bodi-ya-kitaifa-ya.html?spref=tw
Posted:
#MSLAC #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #Katibanasheria
Posted:
Rais Samia Suluhu, anasema "hakuna aliye juu ya sheria," akisisitiza kwamba kila mtu, bila kujali cheo au nafasi yake katika jamii, anapaswa kufuata sheria za nchi. Hii inamaanisha kuwa sheria inapaswa kutekelezwa kwa usawa bila upendeleo. "Hakuna Taasisi iliyo juu ya sheria,"…
Posted:
Kwa pamoja, vinawezesha ustawi na maendeleo ya binadamu kwa kuhakikisha kuwa kila mtu anapata fursa sawa za kujitafutia maisha bora na kushiriki katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
Posted:
Wananchi wanapopata haki zao, wanakuwa na uwezo wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi.
Posted:
Kwa kutoa msaada wa kisheria na elimu juu ya haki na sheria. Hii inawafanya watu kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea, na hivyo kuleta tabasamu la haki. #MSLAC #Katibanasheria #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH



