Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Wananchi wanapopata elimu ya kisheria na ushauri, wanakuwa na uwezo wa kuelewa taratibu za kisheria na haki zao, hivyo kupunguza malalamiko na migogoro isiyokuwa na ulazima. #MSLAC #Katibanasheria #Sisinitanzania
Posted:
Hii inalenga kusogeza huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa njia rahisi na ya karibu. Kupitia kliniki za ushauri na elimu ya sheria, wananchi watapata fursa ya kushauriwa na wataalamu wa sheria bila malipo. #MSLAC #Katibanasheria
Posted:
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amezindua Kliniki ya Ushauri na elimu ya Sheria kwa Umma inayokusudia kusogeza huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi ili kupunguza migogoro dhidi ya Serikali na kupata suluhu ya changamoto.  #MSLAC #Katibanasheria
Posted:
atika tukio la kuhuzunisha, Asia Sadick, mama mmoja mwenyeji wa eneo la Gongolamboto Majoe, amepata msaada wa kisheria kutoka Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mamama samia (MSLAC) baada ya mtoto wake, Aisha, kudhulumiwa kingono na jirani yao. Asia, ambaye alikuwa amepoteza matumaini ya kupata…
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #wizarayaafya
Posted:
Kukuza usawa na haki katika jamii, kuheshimu matakwa ya marehemu, kuzuia migogoro ya mirathi, na kusimamia mali kwa njia inayofuata sheria na haki za kila mmoja. #MSLAC #Ikulu #KaziIendelee #SSH #CCM
Posted:
Inalenga kujenga jamii yenye ufahamu zaidi na yenye uwezo wa kudai na kulinda haki zao za ardhi kwa mujibu wa sheria. #MSLAC #Ikulu #KaziIendelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH
Posted:
Lengo ni kubadilisha utamaduni na kuunda jamii ambayo inazingatia mahitaji na haki za watoto, huku ikihamasisha ushiriki wa umma na mamlaka za serikali katika kuhakikisha ulinzi wa watoto kote nchini. #MSLAC #Ikulu #KaziIendelee
Posted:
Serikali ya Tanzania imechukua hatua kali dhidi ya vitendo vya ukatili na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa kutoa maagizo maalum kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha kwamba washukiwa wote wa vitendo hivyo wanakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria. Mauaji ya albino yamekuwa ni…
Posted:
Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kusaidia wananchi wa Tanzania kwa kutuma vyombo vya dola. Vyombo hivi vimeweza kutoa msaada muhimu kwa jamii, hasa kwa watu kama huyu mama aliyeweza kunufaika.
Posted:
"Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inafanya vizuri katika usimamizi wa sheria na haki chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kituo hiki kinalenga kutoa msaada wa kisheria kwa watu wenye mahitaji, kuhakikisha upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii kwa ujumla, kulingana na malengo ya…
Posted:
"Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) inafanya vizuri katika usimamizi wa sheria na haki chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kituo hiki kinalenga kutoa msaada wa kisheria kwa watu wenye mahitaji, kuhakikisha upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii kwa ujumla, kulingana na malengo ya…