Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan
Posted:
Kampeni Hii ya msaada wa kisheria imebeba mfumo unaoshughulikia migogoro na kupunguza kero za Kisheria kwa Wananchi walio Wengi na Wasioweza Kughalamikia huduma za Kisheria! Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure! #MSLAC
Posted:
Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imeleta matumaini mapya Ya Haki kwa Watanzania Hasa Kwa Wanawake na watoto nchini, kuhakikisha haki zao zinaheshimiwa na kulindwa. Kwa Sasa Kampeni Hii Ipo Ndani Ya SabaSaba , Karibu upate Huduma za Msaada wa Kisheria Bure!
Posted:
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Mary Makondo, akitoa huduma ya msaada wa kisheria kwa mwananchi aliyetembelea banda la Mama Samia Legal Aid Campain kwenye maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) barabara la Kilwa wilayani Temeke #MSLAC
Posted:
Dar es Salaam? Pata msaada wa kisheria kutoka Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia viwanja vya 77. Huduma za migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, na ukatili wa kijinsia zinapatikana bure! Fika kwenye banda letu leo! #MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #SisiniTanzania
Posted:
Tunatoa msaada katika masuala ya migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi, ukatili wa kijinsia na mambo mengine yote yanayohitaji msaada wa kisheria. Fika kwenye banda letu upate huduma hizi bure na kwa uhakika! #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu
Posted:
Karibu Katika Banda La Mslac Kupata Msaada Na Ushauri Wa Kisheria. Katika Maonesho Ya 48 Ya Biashara Ya Kimataifa Ya Dar Es Salaam (DITF) #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Posted:
Karibu Katika Banda La Mslac Kupata Msaada Na Ushauri Wa Kisheria. Katika Maonesho Ya 48 Ya Biashara Ya Kimataifa Ya Dar Es Salaam (DITF) #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Posted:
Msaada wa kisheria na huduma za afya huunda mfumo imara wa kijamii ambao unalinda haki za binadamu, kuhakikisha upatikanaji wa huduma za msingi, na kuboresha maisha ya watu kwa ujumla. Kwa njia hii, msaada wa kisheria na huduma za afya zinashirikiana katika kufikia lengo la maendeleo endelevu na…
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia inalenga kuleta mabadiliko chanya katika jamii kwa kuhakikisha kuwa kila mtu anapata haki zake za kisheria kwa njia ya haki, sawa, na inayozingatia haki za binadamu na usawa. #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya
Posted:
Wananchi wanahitaji msaada wa kisheria ili kupata haki zao. #MSLAC inatoa msaada wa kisheria kupitia vituo vya msaada, mawakili, na elimu ya kisheria, ikilenga migogoro ya ardhi, urithi, na haki za binadamu. Hii inaongeza uelewa wa sheria na upatikanaji wa haki nchini Tanzania.
Posted:
Kampeni hii inachangia utawala bora. Utawala bora unajumuisha uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi na utekelezaji wa sheria na sera za umma. #MSLAC #Katibanasheria #Ikulu #SSH #ccm



