Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kampeni ya MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Inafanyika kwa miaka mitatu kuanzia mwezi Machi, 2023 hadi mwezi Februari, 2026 katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Kampeni imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya…
Posted:
Utekulizaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia umekuwa na mchango mkubwa katika kurejesha amani na utulivu katika familia na jamii kadhaa zilizokuwa zikikabiliwa na migogoro nchini kote.Kampeni hiyo inatekelezwa kwa pamoja kati ya serikali na Kituo cha Msaada wa Kisheria (LSF).Kampeni…
Posted:
Sheria inatoa mwongozo wa jinsi serikali inavyopaswa kushughulikia na kurejesha hali ya kawaida baada ya maafa kutokea. Masuala ya maafa na utawala wa dharura yanaweza kushughulikiwa katika vipengele kadhaa vya Katiba na sheria nyingine nchini. #Katibayawatu #KatibanimaridhianoBaadhi ya vipengele…
Posted:
Kampeni hii inafanyika kwa miaka mitatu kuanzia mwezi Machi, 2023 hadi mwezi Februari, 2026 katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Kampeni imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa…