Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Sheria za Tanzania zinalinda haki za watoto na kutoa miongozo kuhusu jinsi wanavyopaswa kutendewa katika jamii. Mojawapo ya nyaraka muhimu ni Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 (The Law of the Child Act, 2009). Sheria hii inakusudia kulinda haki na ustawi wa watoto nchini Tanzania.
Posted:
Rajabu Mussa, mmoja kati wa wananchi wa kijiji cha Matumbo kata ya Mtinko, Wilaya ya Singida Vijijini, aliyepata nafasi ya kuhudhuria semina elekezi, akieleza namna alivyopata elimu na msaada wa kisheria unaotolewa na timu ya Mama Samia Legal Aid Campaign Mkoani Singida.
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za binadamu kwa ujumla.MIGOGORO YA ARDHIMigogoro ya ardhi ni…
Posted:
Kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeendelea kwa siku ya pili leo Mkoani Singida ambapo wananchi wameonesha mwamko mkubwa wa kuchangamkia fursa hiyo kupata misaada ya kisheria katika migogoro mbalimbali ikiwemo ya Mirathi, Ardhi, ndoa ukatili wa kijinsia kupata vyetu vya kuzaliwa na Masuala ya…
Posted:
Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili wa Kijinsia n.k.Kampeni  hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa Mkoani Singida Yenye malengo ya…
Posted:
Kampeni ya utoaji wa elimu ya sheria na huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeendelea kutoa nafuu kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Singida katika kukabiliana na changamoto mbalimbali hususan za kisheria.Bw. Kimweri Stambuli wa kijiji cha Iguguno ametembelea banda la…
Posted:
MIGOGORO ya ardhi imetajwa kuwa ni ndio moja ya kero kubwa kwa wananchi wilayani Iramba Mkoani hapa na imesababisha kutumia muda mwingi kutafuta haki hiyo maeneo mbalimbali ya utoaji haki.Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano wa hadhara kati ya wananchi na timu ya kampeni ya huduma ya msaada wa…
Posted:
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itaendelea kulinda na kukuza upatikanaji haki nchini kwa kuzingatia miongozo mbalimbali ya kisera ya Kitaifa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kunakuwa na usawa mbele ya sheria, wananchi wanalindwa na wanapata haki kupitia vyombo…
Posted:
JAMII imetakiwa kuandika wosia wa mali zao ili kuepusha migogoro ya mgawanyo wa mali hizo baada ya kifo cha mhusika kutokea. Ofisa kutoka Ofisi ya Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) ,Mohamed Changula alitoa ushauri huo kwenye mkutano wa hadahara Kijiji cha Ipande halmashauri ya wilaya ya…
Posted:
FAMILIA ya watoto saba wenye umri chini ya miaka 10 wamekuwa wakijitunza wenye kwa muda wa miaka mitatu kutokana na wazazi wao wakutengana .Watoto hao wameibuliwa na kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayoendelea wilayani hapa hapa baada ya kuzinduliwa januari 10 mwaka huu.Timu…
Posted:
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Bi. Fatuma Ramadhan Mganga ametoa wito kwa Wataalam watakaoshiriki Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ijulikanayo kama Mama Samia Legal Aid Campaign mkoani humo wanaitekeleza kwa kutoa maamuzi na ushauri sahihi kwa wananchi watakao wahudumia ili kuwawezesha…
Posted:
Kuelekea uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ijulikanayo kama Mama Samia Legal Aid Campaign hapo kesho mkoani Singida, leo hii wasajili na wadau wa msaada wa kisheria mkoa wa Singida wamekutana na kujadili utekelezaji wa kampeni hiyo. @samia_suluhu_hassan @katibayawatu @…