Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na masuala yahusuyo haki za…
Posted:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa, inatoa msaada wa kisheria kwa wananchi. Haki hii inatambulika katika Ibara ya 13(1) inayohusu Haki na Uhuru wa Binadamu. Ibara hiyo inasema: "Kila mtu anayo haki ya kuwa na msaada wa kisheria kwa ajili ya kulinda…
Posted:
Familia zenye hali duni kiuchumi zinaweza kuona ndoa za utotoni kama njia ya kupunguza mzigo wa kifedha au kuboresha hali ya maisha ya familia. Baadhi ya wazazi wanaweza kuona kuolewa mapema kama suluhisho la kiuchumi.
Posted:
Amezindua Programu ya Elimu ya Haki vijijini, Hivyo kupelekea Wananchi wengi Kunufaika na Ujuzi wa Kisheria Kupitia programu hiyo.
Posted:
Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa za kuboresha utoaji wa huduma za kisheria na upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Hatua hizi zimegusa maeneo muhimu. Na haya ni matumaini kwa wananchi wa Tanzania kuhusu mabadiliko chanya katika mifumo ya kisheria na upatikanaji wa haki, pamoja na…
Posted:
Mama Samia Legal Aid, imechangia katika kuendeleza na kuboresha sheria za nchi, hasa katika masuala ya mirathi, ardhi, ndoa, na usajili, ili kuhakikisha zinazingatia haki na usawa.
Posted:
Unapofikiria kutafuta msaada wa kisheria, ni vyema kuwasiliana na moja au zaidi ya vyanzo vya kisheria kuuliza jinsi gani vinaweza kutoa msaada kulingana na mahitaji yako maalum. Miongoni mwa vyanzo hivyo ni kama vifuatavyo; Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa SerikaliOfisi hii inaweza kutoa…
Posted:
Ndio, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kama ilivyorekebishwa, kila mtu ana haki ya kupata msaada wa kisheria. Haki hii inatambuliwa na Ibara ya 13(1) ya Katiba, inayohusu Haki na Uhuru wa Binadamu. Ibara hiyo inasema:  “Kila mtu anayo haki ya kuwa na…
Posted:
Nchi ya Tanzania ina mfumo wa kisheria unaosimamia masuala ya mirathi, ardhi, ndoa, usajili, na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa. Misingi ya kisheria inapatikana katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Sheria mbalimbali. MSAADA WA KISHERIA KATIKA MirathiSheria kuu…
Posted:
Mara tu baada ya kuingia madarakani, Rais Samia Suluhu Hassan alianza kuchukua hatua kuelekea kuboresha utoaji wa huduma za kisheria na upatikanaji wa haki. Huu ni mkakati ambao umegusa maeneo ya elimu, haki za Binadamu, kupambana na ukatili wa kijinsia, Masuala ya mirathi, migogoro ya ardhi na…
Posted:
Miongoni mwa njia ambazo Mwananchi anaweza zitumia kupata msaada wa kisheria   Mashirika Ya Kutoa Msaada wa KisheriaKuna mashirika mengi ya kutoa msaada wa kisheria ambayo yanaweza kutoa ushauri na msaada wa kisheria kwa wananchi. Mashirika haya yanaweza kuwa ya kiraia au yanaweza kuungwa…
Posted:
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu ametoa wito kwa Mkoa wa Singida kutoa ushirikiano wa kutosha wakati wote wa utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign - MSLAC) inayotegemewa kufanyika mkoani humo kuanzia tarehe 10 hadi…