Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyofanyika tarehe 8 Machi 2025 mkoani Tanga, Mkuu wa Mkoa Mhe. Dkt. Batilda Burian ametoa hotuba ya kusisimua mbele ya mamia ya wakazi waliojitokeza kwa wingi kushiriki. Akiwaongoza wananchi katika tukio hilo muhimu, Mhe.…
Posted:
Katika video hii, Mhe. Agness Kaiza, Mbunge na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora, Katiba na Sheria, anatoa salamu maalum wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika mkoani Tanga tarehe 08 Machi 2025. Mhe. Kaiza amesisitiza umuhimu wa wananchi…
Posted:
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika leo tarehe 08 Machi 2025 mkoani Tanga, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Amon Mpanju, ameeleza kwa kina dhamira ya serikali katika kuhakikisha haki inamfikia kila Mtanzania kupitia huduma ya msaada wa…
Posted:
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika leo tarehe 08 Machi 2025 mkoani Tanga, Mhe. Ummy Mwalimu ametumia nafasi hiyo kutoa salamu rasmi kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro. Katika salamu hizo, Mhe. Ummy amesisitiza dhamira ya…
Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, leo tarehe 07 Machi 2025 ameongoza kikao cha maandalizi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, ambayo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho tarehe 08 Machi 2025. Katika kikao hicho, Mhe. Dkt. Burian ameelezea namna vijana…
Posted:
@SuluhuSamia@ikulumawasliano@sisiniTanzania@DBiteko @udom #MSLAC #Katibanasheria #Ikulumawasiliano #SSH
Posted:
Muda wa kufutwa machozi kwa wakazi wa mkoa wa Tanga ni sasa  kupita kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia,uonapo tangazo hili mjuze na mwenzio ilituweze kujumika na kuelimika kwa pamoja kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi,ukatili wa kijinsia na mwisho wa yote kupata usuluhishi na msaada…
Posted:
Wataalamu wa msaada wa kisheria kutoka Mama Samia Legal Aid wametoa elimu kuhusu huduma za msaada wa kisheria na mfumo wa MSLAC kwa wananchi wa Kata ya Baray, Kijiji cha Matala, ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Lengo la zoezi hili lilikuwa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao za kisheria…
Posted:
Jiunge nasi katika kuelimisha jamii, kuhamasisha matumizi ya Dawati la Jinsia na Watoto, na kupaza sauti kwa ajili ya haki, usalama na ustawi wa watoto wote. ✅ Elimu ya Haki za Mtoto ✅ Namna ya Kuripoti Ukatili ✅ Wito kwa Viongozi wa Dini, Jamii na Familia ✅ Ushuhuda wa Watoto na Wazazi ✅ Huduma…