Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Migogoro ya ardhi imekuwa chanzo kikuu cha mifarakano ndani ya familia nyingi hapa nchini. Lakini je, ni nini kifanyike ili familia ziishi kwa amani na mshikamano? Katika video hii, Mama wa Kata ya Kashai, mkoani Kagera, anatoa maelezo ya kina na ushauri mzito kuhusu namna bora ya kuepuka migogoro…
Posted:
Katika tukio lililozua msisimko na mvuto mkubwa, Afisa Ustawi wa Jamii amejikuta kwenye wakati mgumu mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, wakati wa ziara yake mkoani Kagera. Tukio hili lilitokea hadharani mbele ya viongozi wa Serikali, wananchi na vyombo vya habari, na…
Posted:
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official @katibanasheria_ @mslegalaidcampaign @sisinitanzania @tanganyikalawsociety #mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool…
Posted:
@ikulu_mawasiliano@samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official @katibanasheria_ @mslegalaidcampaign @sisinitanzania @tanganyikalawsociety #mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool #…
Posted:
@ikulu_mawasiliano@samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official@katibanasheria_ @mslegalaidcampaign @sisinitanzania @tanganyikalawsociety #mslac #kampeniyamsaadawakisheria #sheria #msaadawasheria #hakikwawote #katibanasheria #sheria #haki #hakinasheria #hakinawajbu #wakilimsomi #wakili #lawschool #…
Posted:
-Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, Amewahakikishia wananchi wa Kagera kuwa huduma ya msaada wa kisheria ni bure na kwa ajili yao wote – maskini kwa matajiri. @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official @katibanasheria_ @mslegalaidcampaign @sisinitanzania @…
Posted:
Usisahau Kusubscribe Kulike na Kushare Habari hii.                                                 #hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #…
Posted:
Kwa upande wa usimamiwaji wa Haki za Binadamu na Watu, Wizara yangu imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha misingi ya Haki za Binadamu inazingatiwa nchini. Na wote tumekuwa mashuhuda, katika ngazi za Kimataifa na Kikanda, nchi yetu imekuwa ni kinara wa usimamiaji mzuri wa Haki za Binadamu, hivyo…
Posted:
Kauli mbiu hii inaashiria azma ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kulinda, kukuza  na kutetea haki za wananchi wote hususan wanyonge kwa kuhakikisha kwamba kunakuwa na uzingatiaji wa misingi ya utawala bora na kuheshimu utawala wa sheria katika…
Posted:
Aprili 14, 2025, Uwanja wa Uhuru (Mashujaa) mkoani Kagera umeandika historia mpya katika harakati za kuhakikisha haki inapatikana kwa kila Mtanzania, bila kujali hali yake ya kiuchumi au mahali alipo. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Hajat Fatma Mwassa, ameongoza kwa kishindo uzinduzi wa Kampeni ya…
Posted:
#hakikwawote #mslac #katibanasheria #sisinitanzania #msaadawakisheria #nchiyangukwanza #ssh #matokeochanya #kaziiendelee #ccm