Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa, ametoa wito kwa watumishi wa umma kutumia kampeni ya msaada wa kisheria kama sehemu ya kujifunza na kuboresha namna ya kushughulikia changamoto za wananchi. Akizungumza kuelekea uzinduzi wa kampeni hiyo utakaofanyika Bukoba – Uwanja wa Mayunga, Mhe. Mwassa…
Posted:
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Bw. Stephen Mashauri Ndaki akiongoza kikao cha maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Kagera uzinduzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14  Aprili, 2025 katika viwanja vya Jamhuri (Mashujaa) mkoani humo. Kikao hicho…
Posted:
Muda wa kufutwa machozi kwa wakazi wa mkoa wa Kagera ni sasa  kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia,uonapo tangazo hili mjuze na mwenzio ilituweze kujumika na kuelimika kwa pamoja kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi,ukatili wa kijinsia na mwisho wa yote kupata usuluhishi na…
Posted:
Katika tukio la kihistoria lililojiri wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Tanga, Askari Halima Mvula Komba aliibua hoja nzito mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, akieleza changamoto zinazomkabili katika kufuatilia haki zake baada ya…
Posted:
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia uliofanyika mkoani Tanga, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amemsikiliza Elisha John, mchezaji wa mpira wa miguu mstaafu, aliyewasilisha mgogoro wake unaohusiana na masuala ya haki na ustawi wa maisha yake baada ya…
Posted:
Katika mwendelezo wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Tanga, Sophia Ramadhan Msikiti aliibua madai ya mirathi mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro. Sophia, ambaye alikuwa mke wa pili wa marehemu, alieleza jinsi shemeji yake anavyotaka kuuza nyumba…
Posted:
Nikatika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia mwananchi akifurahia wakati waziri wa katiba na sheria dkt: Damasi Ndumbaro akisikiliza na kutatua kero za baadhi ya wananchi waliofika katika viwanja vya Tangamano kupata huduma ya msaada wa kisheria, ikiwa nisehemu ya hotuba ya…
Posted:
Leo, tarehe 08 Machi 2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi, Mkoa wa Tanga unatarajia kushuhudia uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia. Kampeni hii inalenga kuwawezesha wananchi, hususan walioko katika mazingira magumu, kupata huduma za msaada wa kisheria bila malipo. Huduma…
Posted:
Katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Tanga, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amekutana ana kwa ana na wananchi na kusikiliza migogoro mizito inayowakabili. Migogoro hiyo ilihusu maeneo ya ardhi, ndoa, mirathi, haki za wanawake na…