Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
1. Ibara ya 13(6)(a) - Usawa mbele ya Sheria Ibara hii inasema kuwa kila mtu anayo haki ya kusikilizwa kwa usawa mbele ya vyombo vya sheria. Pia, inakataza vitendo vyote vya ubaguzi vinavyoweza kuathiri haki ya mtu kupata msaada wa kisheria. "Kila mtu ana haki ya kusikilizwa mbele ya chombo…
Posted:
Akizungumza katika kikao hicho Mhe. Kabudi amesema kuwa serikali inatambua mchango mkubwa unaofanywa na Legal Services Facility katika kuwezesha upatikanaji wa Haki kupitia Huduma za Msaada wa Kisheria kwa kuwawezesha Wasaidizi wa Kisheria kufika katika maeneo ya pembezoni na kuwapatia mafunzo…
Posted:
Tunawaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka, na wale waliokwama waokolewe salama. waliotangulia mbele za haki, tunamuomba Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi, Ameen. #Katibanasheria #Nchiyangukwanza
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inalenga kuwapatia wananchi uelewa wa msingi wa haki zao na namna ya kuzitetea kwa mujibu wa sheria za Tanzania. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM
Posted:
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Ipo kwaajili yako Mtanzania!#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata haki zao kwa njia za kisheria, jambo ambalo husaidia kuondoa migogoro inayoweza kusababisha mvutano au vurugu. #MSLAC #Katibanasheria #CCM #Nchiyangukwanza
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa wananchi wanapata haki zao kwa njia za kisheria, jambo ambalo husaidia kuondoa migogoro inayoweza kusababisha mvutano au vurugu. #MSLAC #Katibanasheria #CCM #Nchiyangukwanza
Posted:
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Posted:
Migogoro ya ndoa inajumuisha changamoto kama vile ugomvi, kutofautiana kwa maoni, unyanyasaji wa kijinsia, masuala ya mali, na masuala ya malezi ya watoto. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM