Mama Samia Legal Aid Campaign
Yaliyojiri
Posted:
Kutoka kijiji cha Mselembwe, sauti ya haki inainuka kwa nguvu mpya. 🌍⚖️
Kampeni hii ya msaada wa kisheria inalenga kutoa elimu na uelewa wa kisheria kwa kila mwananchi, kuhakikisha kila mmoja anajua haki zake na namna ya kuzilinda.
Tazama jinsi wakazi wa Mselembwe wanavyoshiriki katika mafunzo,…
Posted:
Katika maadhimisho ya Nanenane mwaka huu, huduma za msaada wa kisheria zimefika moja kwa moja kwa wakulima, wafugaji na wananchi wa kawaida waliokusanyika kwenye viunga vya Nanenane. Huu ni mwendelezo wa jitihada za Serikali na wadau wa sheria kuhakikisha kila Mtanzania anafikiwa na haki bila…
Posted:
Katika Kongamano la Msaada wa Kisheria la Mwaka 2025 linalofanyika jijini Arusha, wataalamu mbalimbali wa sheria, TEHAMA, na maendeleo ya jamii wanajadili kwa kina nafasi ya ubunifu na matumizi ya teknolojia katika kupanua huduma za msaada wa kisheria.
Mjadala huu unagusa masuala ya mifumo ya…
Posted:
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakim Chacha Maswi, ametoa wito kwa wadau wote wa sekta ya sheria kukaa pamoja na kujadiliana kwa kina namna bora ya kuwafikia wananchi kwa huduma za msaada wa kisheria.
Akizungumza katika Kongamano la Msaada wa Kisheria la mwaka 2025, Maswi…
Posted:
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Chacha Maswi, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameagiza taasisi zote za umma kuhakikisha mifumo yao ya TEHAMA inafanya kazi kikamilifu na inazungumza kwa lugha moja — ya ufanisi, uwazi na uwajibikaji.
Katika kauli yake, Maswi…
Posted:
Katika Kongamano la Msaada wa Kisheria la mwaka 2025 lililofanyika jijini Arusha, Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Chacha Maswi, amefichua ongezeko kubwa la barua za wananchi wanaotafuta msaada wa kisheria kutoka Serikali.
Akizungumza mbele ya wadau wa sekta ya sheria kutoka…
Posted:
Wakili Msomi Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS, anazungumza kwa uwazi kuhusu umuhimu wa msaada wa kisheria kwa wananchi wa kawaida, hasa wale waliokuwa hawajui wapi pa kuanzia wanapokosa haki au kukumbwa na migogoro ya kisheria.
Kauli yake “Watanzania wengi walihitaji huduma hii” inaangazia uhalisia…



