Video
Posted:
Kamishna wa Sheria na uendeshaji wa Magereza Nchini CP Nicodemus Menyamsumba Tenga amewataka Maafisa wa Jeshi la Polisi na Magereza nchini kuhakikisha wanasimamia haki zote za binadamu katika maeneo yao ya kazi.
Posted:
Judith Komba Mkazi wa Kijiji cha Ibumi akitoa shukrani kwa Mhe. Rais Doct. Samia Suluhu Hassan kwa huduma ya Msaada wa Kisheria iliyowafikia katika kijiji cha Ibumi baada ya timu ya wataalam kutatua mgogoro ulidumu takribani miaka 5 kati yake na mdogo wa Melina Komba ambaye ni mjumbe wa Serikali ya…
Posted:
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) leo Mei 26, 2024 inayofanyika mkoani Njombe
Posted:
Kwa mda ambao mmefanya kampeni hii nimefurahi kupata taarifa kuwa mmeshakwenda kwenye halmshauri 42, kata 452 na Vijiji 1348 mmevifikia na toka mmeanza hii kampeni watu wengi mmeweza kuwafikia""Watu 415,597 mmewasikiliza na hapa nataka kutofautiana na Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Jamii (Mhe. Dkt.…
Posted:
Katika jamii nyingi, uelewa juu ya msaada wa kisheria katika kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia na rushwa unaweza kutofautiana. Baadhi ya watu wanaweza kuwa na uelewa mdogo au hawana ufahamu kabisa juu ya haki zao za kisheria katika kesi za ukatili wa kijinsia na rushwa. Hata hivyo, elimu na…
Posted:
Katıka kuhakikisha upatikanaji wa msaada wa kisheria Nchini Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Pindi Chana, Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ametoa maelekezo kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria…
Posted:
Katıka kuhakikisha upatikanaji wa msaada wa kisheria Nchini Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Pindi Chana, Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ametoa maelekezo kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuhakikisha kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria…
Posted:
"Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi" ni taasisi au chombo cha serikali kilichowekwa kwa lengo la kusimamia na kulinda taarifa za kibinafsi za watu katika jamii. Majukumu yake yanaweza kujumuisha kudhibiti sheria na kanuni zinazohusiana na ulinzi wa taarifa za kibinafsi, kutoa mwongozo kwa mashirika…