Skip to main content

Video

Posted:
Familia zenye hali duni kiuchumi zinaweza kuona ndoa za utotoni kama njia ya kupunguza mzigo wa kifedha au kuboresha hali ya maisha ya familia. Baadhi ya wazazi wanaweza kuona kuolewa mapema kama suluhisho la kiuchumi.
Posted:
Amezindua Programu ya Elimu ya Haki vijijini, Hivyo kupelekea Wananchi wengi Kunufaika na Ujuzi wa Kisheria Kupitia programu hiyo.
Posted:
Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa za kuboresha utoaji wa huduma za kisheria na upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Hatua hizi zimegusa maeneo muhimu. Na haya ni matumaini kwa wananchi wa Tanzania kuhusu mabadiliko chanya katika mifumo ya kisheria na upatikanaji wa haki, pamoja na…
Posted:
Mama Samia Legal Aid, imechangia katika kuendeleza na kuboresha sheria za nchi, hasa katika masuala ya mirathi, ardhi, ndoa, na usajili, ili kuhakikisha zinazingatia haki na usawa.
Posted:
Kampeni ya MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Inafanyika kwa miaka mitatu kuanzia mwezi Machi, 2023 hadi mwezi Februari, 2026 katika mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar. Kampeni imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya…