Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
Wizara ya Katiba na Sheria imezindua Kituo cha Huduma kwa Mteja ili kurahisisha mawasiliano kati ya wananchi na wizara. Hatua hii inalenga kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika utoaji wa huduma za kisheria kwa wote. Mkurugenzi wa TEHAMA, Bw. Omary Gabriel, amesema kituo hiki kitasaidia…
Posted:
From grassroots legal aid to nationwide campaigns, Tanzania is building one of Africa’s most inspiring frameworks for justice and access to rights. This video explores how legal services are reaching ordinary citizens, the role of government initiatives, and the impact of community-based support…
Posted:
    
Posted:
Maana ya ujumbe huu: Sheria haikutungwa kwa ajili ya kundi dogo la watu au wenye nafasi fulani pekee, bali ipo kwa ajili ya wananchi wote bila ubaguzi. Kila raia ana haki ya kulindwa na sheria na pia wajibu wa kuifuata. Hakuna mtu aliye juu ya sheria; wote ni sawa mbele ya sheria. Ujumbe huu…
Posted:
Ujumbe huu unahimiza wananchi kutokaa kimya wanapokosa haki au wanapokutana na changamoto zinazohusu maisha yao ya kisheria na kijamii. Kukaa kimya ni kuruhusu kunyimwa haki, lakini kuzungumza na kudai ni hatua ya kwanza ya kuhakikisha haki inapatikana. Kampeni hii inalenga kuwaelimisha wananchi…
Posted:
Inaweka wazi kuwa kila Mtanzania ana stahiki ya kupata haki bila ubaguzi. Haki hizo si zawadi ya mtu binafsi wala taasisi, bali ni wajibu wa kikatiba na kisheria kwa kila raia kuzipata na kulindwa nazo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndiye mlezi mkuu…
Posted:
#WizaraYaKatibaNaSheria #HudumaKwaWananchi #MamaSamiaLegalAid #HakiKwaWote #HakiSawa #MsaadaWaKisheria #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu