Skip to main content

Mama Samia Legal Aid Campaign

Yaliyojiri

Posted:
MSLAC kwa ushirikiano na Wizara ya Ardhi wametoa hati za viwanja bure kwa wananchi Mbagala, Dar es Salaam. Huduma hii imesaidia watu kupata haki zao za ardhi haraka na bila malipo yoyote. Tazama tukio hili muhimu!
Posted:
Mama aliyenyimwa haki ya kuwaona watoto wake kwa muda mrefu baada ya kuachana na mumewe, hatimaye apata faraja kupitia msaada wa kisheria kutoka MSLAC. Tazama jinsi haki ilivyotendeka!
Posted:
Mchezaji wa klabu ya Simba SC, Mzamiru Yassin, amejitokeza katika Kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia iliyoendelea kutolewa bure kwa wananchi katika eneo la Kigamboni, Dar es Salaam.Mzamiru alipata nafasi ya kupokea msaada wa kisheria kupitia kampeni hii inayoratibiwa…
Posted:
Katika kuunga mkono juhudi za Mama Samia kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria (MSLAC), BRELA imejitokeza rasmi kushiriki kwa kutoa elimu na huduma za kisheria bure kwa wananchi kuhusu usajili wa makampuni, majina ya biashara, na masuala mengine ya kisheria ya uendeshaji biashara. Kupitia…
Posted:
MSLAC (Mama Samia Legal Aid Campaign) yaendelea na dhamira yake ya kuwafikia wananchi moja kwa moja! Safari hii, imewafikia wafanyabiashara wa masoko mbalimbali jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwapa elimu ya kisheria kuhusu haki zao, wajibu wao, mikataba ya kibiashara, uandishi wa wosia, na…
Posted:
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amesema ni dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Dkt. Hussein Mwinyi wa Zanzibar, kuhakikisha kuwa Watanzania wote wanapata haki zao za msingi kwa ustawi wa maendeleo yao na ya Taifa kwa ujumla. Mhe. Majaliwa…
Posted:
"Tumekwenda mpaka kwenye Magereza, tumetoa msaada wa kisheria kwa wafungwa 28,137 na leo Mhe. Mgeni rasmi (Waziri Mkuu wa Tanzani) tutakuomba ukabidhi vifaa kwaajili ya magereza, vifaa vya TEHAMA ambavyo vitafanya wafungwa na mahabusu waweze kusikiliza na kuendesha kesi zao wakiwa Magereza hivyo…
Posted:
Waziri wa Katiba na sheria Mhe. Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa Kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imetekelezwa katika Mikoa,Wilaya, Kata na Vijiji vyote vya Mikoa 30 ya Tanzania ikitekelezwa chini ya Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ambaye pia ndiye…
Posted:
Katika tukio la kihistoria lililofanyika tarehe 16 Juni 2025, maelfu ya wananchi walijitokeza katika viwanja vya Maturubai, Mbagala – Dar es Salaam, kushuhudia uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC). Hafla hiyo ya kipekee iliongozwa na Mgeni Rasmi…
Posted:
Huu ni wakati wako wa kujua haki zako na kuzilinda kwa usahihi wa sheria! ⚖️ Usikubali kunyanyaswa kwa sababu hujui sheria — Mama Samia amesimama na wewe! 👇 Tazama video, toa maoni yako, na usisahau ku-subscribe kwa taarifa zaidi za msaada wa kisheria! #MamaSamia #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #…